Jinsi ya kutengeneza juice ya #MAGANDA YA NANASI

Faidika na tunda na maganda yake kula nanasi kisha maganda tengeneza juice
Faiza zake.
Unaweza kutumia nanasi kama tiba ya magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:
Tunda nanasi likiliwa husaidia ueyushaji wa chakula mwilini. Kama una tatizo la uyeyushaji hafifu wa chakula (poor digestion) kula tunda hili.
Tunda hili likiliwa husaidia kuondoa minyoo katika utumbo.
Juisi ya nanasi ambalo halijaiva husaidia kutibu tatizo la kukosa au kufunga choo.
Vipande vya nanasi vikiliwa pamoja na chumvi na pilipili husaidia kutibu tatizo la mwili kushindwa kuyeyusha chakula.
Kutibu tatizo la mawe kwenye kibofu cha mkojo (kidney stones) kunywa juisi ya nanasi kila siku asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa mwezi mmoja. Watu wengine wamekuwa wakikimbilia hospitalini kufanyiwa operesheni. Hii sio njia nzuri ya kukimbilia kwa sababu operesheni huondoa kiungo cha mwili ambacho kina kazi yake muhimu katika mwili wa binadamu.source

Leave a Comment

%d bloggers like this: